B basco New Member Joined Jun 27, 2020 Posts 3 Reaction score 0 Feb 9, 2024 #1 Vitabu vingi vya sarufi vinadai kwamba badiliko hili ni sawa lakini siamini Wakuu wa lugha ya kiswahili, lahaja ipi inaruhusu "ninyi"?
Vitabu vingi vya sarufi vinadai kwamba badiliko hili ni sawa lakini siamini Wakuu wa lugha ya kiswahili, lahaja ipi inaruhusu "ninyi"?
Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,156 Reaction score 10,974 Feb 9, 2024 #2 Nyinyi ndo manini sasa
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,462 Reaction score 21,124 Feb 9, 2024 #3 Bado kuna "nyenye"
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Feb 9, 2024 #4 afu kuna nyinyo
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Feb 9, 2024 #6 Hakuna neno nyinyi kwenye kiswahili