Je, ni sahihi kutumia 'ninyi' badala ya 'nyinyi'?

basco

New Member
Joined
Jun 27, 2020
Posts
3
Reaction score
0
Vitabu vingi vya sarufi vinadai kwamba badiliko hili ni sawa lakini siamini



Wakuu wa lugha ya kiswahili, lahaja ipi inaruhusu "ninyi"?
 
Hakuna neno nyinyi kwenye kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…