Je, ni sahihi kwa Kamati kukata jina la Mshindi wa Kura za ndani bila sababu za maana?

Je, ni sahihi kwa Kamati kukata jina la Mshindi wa Kura za ndani bila sababu za maana?

Iwaay

Member
Joined
May 21, 2016
Posts
36
Reaction score
56
Mtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe halafu Kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi?

Je, hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao?

Mwisho wa siku jimbo hiloo kisa kiongozi mmoja ndani anamalahi yake kwa kutaka mtu wake apite?
 
Wengine wameingia kwa rushwa. Nadhani hiyo ndio itakuwa kigezo kikubwa. Na kama ndio hivyo acha tu wakatwe.
 
Mtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe afu kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi?. Je hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao?. Mwisho wa siku jimbo hiloooo kisa kiongozi mmoja ndani anamalahi yake Kwa kutaka mtu wake apite???
Pole sana, kazi ya wajumbe Ni kutoa dira tu, vikao vya juu vikiona hufai utakatwa tu
 
Katika hili kamati kuu ikifanya makosa sio kwamba chama kitapasuka bali kitalipuka kabisa.
 
Hiyo mifano weka kwa uwazi unaogopa Nini wewe?

Kuna Mambo ya kufichaficha dunia hii?
 
Wengine wameingia kwa rushwa. Nadhani hiyo ndio itakuwa kigezo kikubwa. Na kama ndio hivyo acha tu wakatwe.
inaonekana watia nia waloshika nafasi ya kwanza hadi ya tatu wote walitoa hongo japo kwa kuzidiana viwango!!!
 
Pole sana, kazi ya wajumbe Ni kutoa dira tu, vikao vya juu vikiona hufai utakatwa tu
Utakuwa hujaelewa nilichomaanisha polee sana wewe maana huelewi naongelea nini
 
Mtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe halafu Kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi?

Je, hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao?

Mwisho wa siku jimbo hiloo kisa kiongozi mmoja ndani anamalahi yake kwa kutaka mtu wake apite?
Hakatwi mtu bila sababu, wake up guy
 
Wajumbe wala hongo huwa hawana madhara kwa chama. Maana wengi wao hawana watu nyuma yao wa kuwaunga mkono
 
Back
Top Bottom