Pole sana, kazi ya wajumbe Ni kutoa dira tu, vikao vya juu vikiona hufai utakatwa tuMtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe afu kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi?. Je hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao?. Mwisho wa siku jimbo hiloooo kisa kiongozi mmoja ndani anamalahi yake Kwa kutaka mtu wake apite???
inaonekana watia nia waloshika nafasi ya kwanza hadi ya tatu wote walitoa hongo japo kwa kuzidiana viwango!!!Wengine wameingia kwa rushwa. Nadhani hiyo ndio itakuwa kigezo kikubwa. Na kama ndio hivyo acha tu wakatwe.
Wa hivyo akatwe mapemaaaaaWengine wameingia kwa rushwa. Nadhani hiyo ndio itakuwa kigezo kikubwa. Na kama ndio hivyo acha tu wakatwe.
Utakuwa hujaelewa nilichomaanisha polee sana wewe maana huelewi naongelea niniPole sana, kazi ya wajumbe Ni kutoa dira tu, vikao vya juu vikiona hufai utakatwa tu
Nani huko CCM hakuingia kwa rushwa?Wengine wameingia kwa rushwa. Nadhani hiyo ndio itakuwa kigezo kikubwa. Na kama ndio hivyo acha tu wakatwe.
Hakatwi mtu bila sababu, wake up guyMtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe halafu Kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi?
Je, hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao?
Mwisho wa siku jimbo hiloo kisa kiongozi mmoja ndani anamalahi yake kwa kutaka mtu wake apite?