Je? Ni sahihi kwa msichana mzuuuriiii kuwa Mwalimu.

Jitu Refu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
823
Reaction score
811
Mtoto mzuriiii wa kike kuwa Mwalimu mi naona sio vizuri kwani wanafunzi wa kiume hupata shida(hushindwa ku-concetrate kwenye kitu kinachofundishwa na mwalimu huyo na kuishia kutazama maungo ya mwalimu) wakifundishwa na walimu wenye uzuri uliopitiliza(hipsi za kutosha,sura tamu,sauti nyororo,rangi tamu ya ngozi,umbo matata,mguu wa bia).

USHAURI:Nawaomba TSD(mwajiri wa mwalimu) wawe wana ajiri walimu wanawake wenye uzuri wa kawaida tu,hawa wazuri sana wawape kazi zingine za kukaa ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…