Je, ni sahihi kwa Mtoto mdogo kutumia Maziwa ya kopo kwa zaidi ya Miezi 7

Je, ni sahihi kwa Mtoto mdogo kutumia Maziwa ya kopo kwa zaidi ya Miezi 7

sokoMchizi

Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
50
Reaction score
210
Habarini,

Ninaomba Kuuliza kwa wazoefu , Endapo Mama anachangamoto ya Maziwa kutoka toka Mtoto ana mwezi Mmoja Je ni sahihi kwa mtoto kuendelea kupewa maziwa ya kopo hasa Lactogen kwa zaidi ya Miezi 7?

NOTE: Mama Ana upungufu wa maziwa toka Akiwa na mwezi Mmoja yamekuwa hayatoki hata yakitoka kidogo mtoto alikuwa hayataki anayatema na madaktari wakashauri maziwa Mbadala ndo yawe suluhisho.
 
Kumbe yana mwisho?

Dogo aliyanywa hayo kuanzia ana miezi 4 mpaka 7 tena Nido.
 
Hayana shida as long as ni maziwa sahihi kwa mtoto wa umri huo.

Kuna wengine wanawapa maziwa ya ng'ombe na watoto wanakua vizuri tu.
 
Anaweza kutumia hadi miaka mitatu

Kuna namba moja siku moja hadi miezi sita

Namba mbili miezi sita hadi mwaka

Namba tatu mwaka hadi miaka mitatu
 
Watoto wa kimasai wanakunya ya ng'ombe mpaka....
 
𝐍𝐠𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐚𝐦𝐢 𝐧𝐢𝐮𝐥𝐢𝐳𝐞 𝐦𝐭𝐮 𝐦𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐫𝐮𝐡𝐮𝐬𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐲𝐰𝐚 𝐍𝐈𝐃𝐎?
 
𝐍𝐠𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐚𝐦𝐢 𝐧𝐢𝐮𝐥𝐢𝐳𝐞 𝐦𝐭𝐮 𝐦𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐫𝐮𝐡𝐮𝐬𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐲𝐰𝐚 𝐍𝐈𝐃𝐎?
Kuna nido za wakubwa na watoto .
 
Back
Top Bottom