Leo hii mimi niwe mtuhumiwa wa kubaka kuku alafu mkaweka shtaka langu na picha yangu katika mitandao, baada ya upelelezi kukamilika mahakama inakuja na jibu kuwa sikuhusika na tukio hilo maana narudi mtaani sasa mtaani ambako picha zangu zishasambaa mitaani kuwa mimi ni mbaka kuku
JE, HII NI SAWA?
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️