Sio sahihi, alafu huyo jamaa ni Muhaya?Habari zenu wakuu,
Ningependa kufahamu je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal oficer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wenye initials na jina lake lakin wakati huohuo ukionekana kama muhuri wa manispaa? Mfano muhuri usomemeke
A.D Rutashobya
Municipal state artoney
Ahsanteni
Mkuu constructive thought nashukuru kwa mchango mana inaonekana kuna watu wamefanya ukanjanja na wametapeli nyumba ya yatima kwa docs za kutia shaka kama hizoSio sahihi, alafu huyo jamaa ni Muhaya?
Cjakupata vizuriHuo mhuri si unamtambulisha Kama mwanasheria wa manispaa boss.. We unafikiri document yako ukiipeleka kwa Mwanasheria wa manispaa yeye ana mhuri anao wa kwake ambao huwa ni tofauti na ule wa Advocates
State attorney pia ana utambulisho wake wa kiofisi kupitia mhuri anaokabidhiwa katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku kwahiyo ni sahihi.. Huu ni tofauti na ule waliokuwa nao mawakili.Cjakupata vizuri
Ok but huo unazo initials na jina la mtu na sio state artoney au municipal artoney pekee huo unasomeka vyote ie "MUNICIPAL STATE ARTONEY" na qualification ni "LEGAL OFFICER"Unajua maana ya State Attorney au Municipal Attorney? Kimsingi, hao nao ni Mawakili wasomi walioajiriwa Serikalini