Je ni sahihi kwa mwanaume kuvaa mavazi haya kama "mtoko"?

Je ni sahihi kwa mwanaume kuvaa mavazi haya kama "mtoko"?

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
^suruali ya kitenge
^mavazi yenye rangi ya pink
^kaptula (kwenye halaiki au event)
Kwanini??

#wataalam wa "pamba" nisaidieni hili
 
Extrovert kwa 😂😂😃😃😃 tu hujamb 😂😂😂😂
 
Wengine ndio hivyo! Kwenye msafara wa wanaume hata kenge wapo
 
Mtoko wa aina gani?beach,date, soccer,sherehe na rika gani na wakina nani?
 
Kwahiyo ulimtega au sio 😀
😂😂😂huyu msela wangu kazidi kwa 😂😂..


Oya comred boy,avatar yako inaonyesha we ni mtaalam wa pamba, nipe ushauri basi vp kesho niitinge suruali yangu ya kitenge au niibwage nisiabike??🤔
 
Mtoko wa aina gani?beach,date, soccer,sherehe na rika gani na wakina nani?
suruali ya kitenge nataka nitinge nayo school kesho, vp niivae au niibwage nisiaibike mkuu?? Au hakuna ubaya??🤔
 
Back
Top Bottom