Je ni sahihi kwa mwanaume kuvaa mavazi haya kama "mtoko"?

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
^suruali ya kitenge
^mavazi yenye rangi ya pink
^kaptula (kwenye halaiki au event)
Kwanini??

#wataalam wa "pamba" nisaidieni hili
 
Extrovert kwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ tu hujamb πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wengine ndio hivyo! Kwenye msafara wa wanaume hata kenge wapo
 
Mtoko wa aina gani?beach,date, soccer,sherehe na rika gani na wakina nani?
 
Kwahiyo ulimtega au sio πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚huyu msela wangu kazidi kwa πŸ˜‚πŸ˜‚..


Oya comred boy,avatar yako inaonyesha we ni mtaalam wa pamba, nipe ushauri basi vp kesho niitinge suruali yangu ya kitenge au niibwage nisiabike??πŸ€”
 
Mtoko wa aina gani?beach,date, soccer,sherehe na rika gani na wakina nani?
suruali ya kitenge nataka nitinge nayo school kesho, vp niivae au niibwage nisiaibike mkuu?? Au hakuna ubaya??πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…