Je, ni sahihi kwa wasanii hawa kujumuika kwenye picha hii?

Je, ni sahihi kwa wasanii hawa kujumuika kwenye picha hii?

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,100
Reaction score
1,363
Nijuavyo Diamond ni Balozi wa Airtel, vipi kwa hawa wasanii wengine..

Ufafanuzi tafadhali...
FB_IMG_1694204156930.jpg
FB_IMG_1694198924020.jpg
 
Peleka jukwaa la wadaku sasa...upo jf unaleta pet issue tukuache ww n nan???...
Cocastica punguza shobo..

Au bwana ako leo hayupo..

Jukwaa la Intellegence hulijui hadi uje uhangaike jukwaa la photos?
 
Airtel ni main sponsor wa hio show kwaio ni Sawa... Ni kama Cristiano Ronaldo ambaye sio athlete wa Adidas bali Nike lakini bado alivaa jezi za Adidas pale man united na Madrid
 
Cocastica punguza shobo..

Au bwana ako leo hayupo..

Jukwaa la Intellegence hulijui hadi uje uhangaike jukwaa la photos?
Eh aseee we nyokolist wa wap... Kwann mzee wako hakumwaga nje!...wanazaa falaa kama ww.... Had mda huu umeikalia tu!?!!??...
 
Eh aseee we nyokolist wa wap... Kwann mzee wako hakumwaga nje!...wanazaa falaa kama ww.... Had mda huu umeikalia tu!?!!??...
Eti 'Nyokolist'

Misemo ya kipunga hii..

Oya mi sihitaji leage na wewe..
 
Back
Top Bottom