Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau eti ni kweli magari ya Serikali hayakatiwi BIMA? ndo maana wind screen zinakuwa hazina kitu. Kama ni kweli je ni sahihi?
gari za serikali zote zina bina ila hazibandikwe sticker kama ulivyozoea kwa magari mengine. na ndiyo maana kwa madereva wajuzi hata ukiwaomba lift na gari la serikali hawakupi coz wewe huna bima litakapopata ajali wewe utadhurika. ukweli ni kwamba yote yana bima