Je ni sahihi Mkude kuachwa kwenye Timu ya Taifa?

Mkude uwezo wake bado anatakiwa au imarishe yuko taratibusana, hauwezo wa kucheza mipira ya juu, mvivu kukaba ila anao uwezo wa kukaa na mpira tatzo uharaka hana. Mbaya zaidi hana nidhamu.Pale Simba mtu aliyekua akimfichia udhaifu ni Kotei.
unataka kusema bora utumbo wa fei?
 
Mpira uchezwe mashuleni, kwasasa sehemu nyingi viwanja vimeporwa. Uwezi kushindana na wenzako ambao wanawachezaji 25 wanao cheza kwenye ligi zenye ushindani wa kutosha.Mim nawapongeza Stars nilkua nahisi aibu itatokea.
 
Tusubiri tuone kama tutaepuka idadi kubwa ya magoli tutakapocheza na Algeria. Sidhani kama na wenyewe watazichezea nafasi kama walivyozichezea hawa Senegali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…