Je, ni sahihi Mshitakiwa kuandika maelezo kabla ya Mlalamikaji?

Je, ni sahihi Mshitakiwa kuandika maelezo kabla ya Mlalamikaji?

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
Wanajamvi,

Kuna mtu wangu aliandika maelezo mwezi wa sita mwaka 2019 na mlalamikaji akaandika maelezo yake mwezi Desemba mwaka huohuo.

Ni sahihi?

Mshitakiwa afanye nini?
 
Ukiona mlalamikiwa kaitwa kutoa maelezo, maana yake kuna maelezo/taarifa ya mlalamikaji tayari katika mamlaka husika.

Maelezo ya mlalamikiwa yanaweza kuzua hoja kinzani au yakaibuia jambo linaloweza kumuimplicate mlalamikaji ikabidi naye atoe maelezo.

Mfano mzuri ni pale mlalamika alipotoa taarifa za uongo au zisizo na kidhibitisho dhidi ya mlalamikiwa na zikaleta utata.
 
Back
Top Bottom