Ukiona mlalamikiwa kaitwa kutoa maelezo, maana yake kuna maelezo/taarifa ya mlalamikaji tayari katika mamlaka husika.
Maelezo ya mlalamikiwa yanaweza kuzua hoja kinzani au yakaibuia jambo linaloweza kumuimplicate mlalamikaji ikabidi naye atoe maelezo.
Mfano mzuri ni pale mlalamika alipotoa taarifa za uongo au zisizo na kidhibitisho dhidi ya mlalamikiwa na zikaleta utata.