Je, ni sahihi mwanamke aliye kwenye siku zake kusimama kwenye madhabahu ya Mungu kuhubiri injili?

Je, ni sahihi mwanamke aliye kwenye siku zake kusimama kwenye madhabahu ya Mungu kuhubiri injili?

20250130_192952.jpg
 
Huyo mwanamke si aliumbwa kwa mfano wa Mungu, iweje Leo akisimama ndani ya nyumba ya Baba yake mshangae!!?
 
Kwani wewe umejuaje kama yupo kwenye siku zake.....??

Alisimama madhahuni UCHI akiwa kabandika mkate....??

1002365759.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
1 TIMOTHY 2:11-12 'A woman should learn in quietness and full submission. I do not permit a woman to teach or to assume authority over a man; she must be quiet,"

1 CORITHIANS 14:34-35 'A women should remain silent in the churches. They are not allowed to speak, but must be in submission, as the laws says. If they want to inquire about something, they should ask their own husbands at home; for it is disgraceful for a woman to speak in the church.'

Na hata hivyo watabisha.....Biblia iko wazi sana....huu ujinga unachochewa na yalee mambo ya Beijing cum usawa.
 
Siku za mwanamke ni sehemu ya sababu ya kanisa kuwa na waumini. Hata wewe upo sababu kuna mwanamke alikuwa anaziona siku zake.
 
Back
Top Bottom