Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Tabia hujenga mazoea!Tumia akili badala ya makalio, serikali ipi imemjeruhi, tupe ushahidi. Mtu mzm mwenye akili unawezaje kuropoka upuuzi km huo?
Tumia akili badala ya makalio, serikali ipi imemjeruhi, tupe ushahidi. Mtu mzm mwenye akili unawezaje kuropoka upuuzi km huo?
Aliekuambia ni serikali ni nani mkuu!!?
Kama je ni kanisa lenyewe!?Kuna papa aliehudumu siku 33 na huyo ni papa sembuse Padri /father!!?
Tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi mkuu!!
Swali gani hili sasaJe ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
Mtu akiongea ukweli anaitwa mpuuzi,na wanaoteka watu wanaitwaje?Tumia akili badala ya makalio, serikali ipi imemjeruhi, tupe ushahidi. Mtu mzm mwenye akili unawezaje kuropoka upuuzi km huo?
Kwani ni sahihi kumjeruhi mdude?Je ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
Mbona unakuwa makali namna hiyo tatizo ni nini? Kwakawaida hata mahakamani mty akipanic hata kama hana hatia watu wanaweka quotion mark. Sidhani kama Serikali inaweza kufanya jambo la kipuuzi kama hilo ,Ila kuna watu wapuuzi ndiyo wanafanya mambo ya kipuuzi kama hayo tatizo ni kwamba serikali inawafumbia macho kwahiyo ,wanapata nguvu yakuendeleza upuuzi wao.Serikali ni dude pana sana mimi na wewe wote tunaunda serkali ya jamuhuri wa Tanzania kwahiyo inapotajwa serkali unapaswa kuitazama kwa upana wa mawanda wake.Tumia akili badala ya makalio, serikali ipi imemjeruhi, tupe ushahidi. Mtu mzm mwenye akili unawezaje kuropoka upuuzi km huo?
Hapana, haiwezi kuwa na maana hiyo moja kwa moja. Tatizo, serikali inatoa kauli tata. Mfano, wamesema Fadha alishambuliwa akiwa anapiga gambe, lakini hili limekanushwa kwa kuitwa kuwa ni upotoshaji kwa polisi kutamka hivyo. Mwenye jukumu la kufuatilia akianza kutoa kauli za hivi, PLUS historia ya mwenye jukumu kwa mambo kama haya huko siku za nyuma (la Akwilina risasi ilikata kona, la Lisu na zile CCTV kamera kule alikopigiwa risasi, la Mawazo, la Azory, la Ben saanane etc), linatupa picha kwamba serikali inahusika kwa namna moja au nyingine. Mind you, sometime unajajiwa kutoka na historia yako. Hata mahakamani kwenye kutoa hukumu, huwa wanafanya reference za kesi za nyuma zinazofanana na kesi iliyoko mezani.Kwahiyo ushahidi usipokuwepo maanake serikali ndo imemjeruhi?
Una uhakika serikali ndo imehusika.Je ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
Nini kujeruhi huwa wanadhulumu uhai kabisaa tena kikatili kupindukia ile kwamba yu hai mpaka sasa ni neema ya Mungu tu.Je ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
NimekuelewaHapana, haiwezi kuwa na maana hiyo moja kwa moja. Tatizo, serikali inatoa kauli tata. Mfano, wamesema Fadha alishambuliwa akiwa anapiga gambe, lakini hili limekanushwa kwa kuitwa kuwa ni upotoshaji kwa polisi kutamka hivyo. Mwenye jukumu la kufuatilia akianza kutoa kauli za hivi, PLUS historia ya mwenye jukumu kwa mambo kama haya huko siku za nyuma (la Akwilina risasi ilikata kona, la Lisu na zile CCTV kamera kule alikopigiwa risasi, la Mawazo, la Azory, la Ben saanane etc), linatupa picha kwamba serikali inahusika kwa namna moja au nyingine. Mind you, sometime unajajiwa kutoka na historia yako. hata mahakamani kwenye kutoa hukumu, huwa wanafanya reference za kesi za nyuma zinazofanana na kesi iliko mezani.
Aione BIN NUN na SangamwalogeshaTabia hujenga mazoea!
Chacha wangwe mlisema ni mbowe
Lisu hamna taarifa yyte mpaka leo.ati aende dereva wake kwanza ? Ndo uchunguzi undelee ! Mpaka leo hajakamatwa hata kibaka tu.
Ben sanane aliuwawa hakuna uchunguzi wowote mpaka leo.
Anzori granda na wengine.
Mzee KIBAO aliuwawa tena raisi wenu akatangaza kabisa kuwatafua wauajji. Aliwatafuta?
We na UCHAWA wako unataka ushahidi upi kwamba serikali ya ccm inahusika???
Unaujua ushahidi wa kimazingira?Una ushahidi wa Serikali kuhusika ?
Fr. Kitima alianguka mwenyewe baada ya kuzidisha kinywaji. Mtu anatumia kinywaji konyagi kutoka saa moja hadi saa nne halafu unategemea nini?Una ushahidi kuwa ni serikali mtu imemjeruhi?
inawezekana, hivi mtu aliedhamiria kukuumiza akupige maramoja tu asirudie pigo la pili?Fr. Kitima alianguka mwenyewe baada ya kuzidisha kinywaji. Mtu anatumia kinywaji konyagi kutoka saa moja hadi saa nne halafu unategemea nini?
ukishalituhumu jeshi la polisi litajiweka kando, utafute ushahidi mwenyeweTabia hujenga mazoea!
Chacha wangwe mlisema ni mbowe
Lisu hamna taarifa yyte mpaka leo.ati aende dereva wake kwanza ? Ndo uchunguzi undelee ! Mpaka leo hajakamatwa hata kibaka tu.
Ben sanane aliuwawa hakuna uchunguzi wowote mpaka leo.
Anzori granda na wengine.
Mzee KIBAO aliuwawa tena raisi wenu akatangaza kabisa kuwatafua wauajji. Aliwatafuta?
We na UCHAWA wako unataka ushahidi upi kwamba serikali ya ccm inahusika???