Je, ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?

Wewe jamaa akili zako hata bashite humfikii. Mbaya zaidi kuna mtu anakuita baba


Kutofautiana na wajinga wengi Sio kukosa akili .... JIAMINI .. tumia logic.

Yani kweli kabisa serikali itume mtu kabeba Mundo na au panga. ...

Wakati bunduki zimelewa matharani humo.
 
Kunywa pepsi baridi kwa mangi nakuja kulipa
 
Serikali inanuka Damu.
 
Je ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?

Yale Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yaliyotoa ruhusa ya kuua Watu kwa Maafisa wa Polisi na TISS sasa matunda yake ndio yanaonekana Wazi wazi kabisa ya Watu kutekwa, kuteswa, kushambuliwa, kupotezwa na hata kuuawa.

Aidha, Mabadiliko yale ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yamewapa ruhusa Watu hao wa Tiss na Polisi kufanya Mauaji ya Watu kadiri watakavyo, na hakuna kitu chochote kile wanaweza wakafanywa. Wameruhusiwa kuua Watu bila ya wao Wauaji kuweza kushitakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…