Je ni sahihi Spika wa Bunge na Wasaidizi wake wasiwe wanatoka Chama chochote?

Je ni sahihi Spika wa Bunge na Wasaidizi wake wasiwe wanatoka Chama chochote?

Laurence

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
3,104
Reaction score
423
Kwa hali ya mambo yanavyoendelea ndani ya Bunge letu la Tanzania kwa hasa Spika na wasaidizi wake kuendesha Bunge bila kufuata misingi ya usawa kwa pande zote hasa hasa upinzani,je hili mnalionaje wana Jf? Nawasilisha kwenu.
 
jana kuna mdau kwenye thread mojawapo alisema hili bunge apewe mchina au mjapani.
 
Back
Top Bottom