Laurence JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 3,104 Reaction score 423 Jul 29, 2011 #1 Kwa hali ya mambo yanavyoendelea ndani ya Bunge letu la Tanzania kwa hasa Spika na wasaidizi wake kuendesha Bunge bila kufuata misingi ya usawa kwa pande zote hasa hasa upinzani,je hili mnalionaje wana Jf? Nawasilisha kwenu.
Kwa hali ya mambo yanavyoendelea ndani ya Bunge letu la Tanzania kwa hasa Spika na wasaidizi wake kuendesha Bunge bila kufuata misingi ya usawa kwa pande zote hasa hasa upinzani,je hili mnalionaje wana Jf? Nawasilisha kwenu.
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,075 Reaction score 9,263 Jul 29, 2011 #2 jana kuna mdau kwenye thread mojawapo alisema hili bunge apewe mchina au mjapani.