johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe utatafsiri visivyo kweli. Kuna waliosomea biblia kuitafsiri, kama walivyo mahakimu, majaji, lawyers etc etc! Kwenye Sheria.Imekuwa ni kawaida Wachungaji kutafsiri Neno la Mungu ( Injili) Wakati wa mahuburi
Lakini Biblia imeandikwa kwa Lugha inayoeleweka
Mfano Yesu baada ya kutembezwa umbali mrefu na baadaye kusulubiwa msalabani alisema " naona Kiu"
Sasa hii kauli ya " naona Kiu" imekuwa na tafsiri nyingi sana
Je, haikuwa Kiu ya maji?
Nawatakia Dominica Njema!
Kwahiyo Mungu anachagua aingie wapi na wapi asiingie?Mchungaji ambae kweli anamjua Mungu anaongozwa na Roho Sasa je wewe una Roho ya Mungu [emoji16]
Mchungaji mda wote anajiweka karibu na Mungu hivyo ni rahisi kuwepo uweponi mwake wewe mda mwingi unaenda kwenye mishemishe
Kwani anayetafsiri anatumia akili ya nani?Unaposoma Biblia Usichukulie poapoa kama vile unasoma Gazeti kile kitabu kina mambo mengi ya kujifunza pia inahitaji umpate mwalimu mzuri ambaye anayeweza kukufunulia kile kilichoandikwa, ukitumia akili yako uwezi uelewa mafunuo ya Biblia
Inahitaji maongozo ya Roho wa Mungu kukuongoza kwenye usomaji wako,ndio maana kabla ya kusoma inahitaji kumuomba pia Roho mtakatifu akusaidie kuweza kukufunulia lile Neno unalolisoma na pia uweze kulipokea na kuliamini pia sababu ni mara nyingi unaweza ukasoma na usielewe chochote hii pia utokea ndio maana tunahitaji kujizoesha kusoma sana na kutafuta kuyajua mafundisho ya kweli la Neno la Mungu ili uweze kukua kirohoKwani anayetafsiri anatumia akili ya nani?
mkuu hio kazi ni yake na yupo specific kwa kazi hioKwahiyo Mungu anachagua aingie wapi na wapi asiingie?