Je, Ni sahii mkewe kukaa mkao wa kimapenzi sebuleni mbele ya shemeji yake

Je, Ni sahii mkewe kukaa mkao wa kimapenzi sebuleni mbele ya shemeji yake

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Ni sahii mkeo kukaa nawe mkao wa kimapenzi mkiwa sebuleni mbele ya shemeji yake. Haina madhara yoyote kimaadili?
 
Huh!!!! Kukaa kimapenzi ndo kukoje? Inanikumbusha siku nimeenda kwenye mafundisho ya ndoa, mchungaji akaniambia nimwambie mchumba (kwa sasa wife) I LOVE YOU kwa lugha ya asili.

Nilitafuta sentensi ya kihehe inayoendana na I Love you, nikakosa. Naye akasema makabila mengi ya kiafrika hayana maneno straight ya I love you.

Siyo maneno tu, na vitendo. So kitakachowasumbua hapo ni utamaduni plus exposure.
 
Ahaha hapa ndio tunakulaga tunda kimasihara sana [emoji39][emoji39] shemejiiiiii
 
Back
Top Bottom