Je, ni salama kulipia Gari SBT japan kwa Kutumia Commercial Invoice

strategist

Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
42
Reaction score
29
Naomba ufafanuzi ili nisije kuingia matatani , Kimsingi naelekea CRDB kulipia gari kutoka kwa hawa SBT japan, Lakini najiuliza mbona wamenitumia commercial invoice badala ya Proforma invoice. Kuna mtu yoyote ashalipia gari kutumia hiyo commmercial invoice ?
Je, hawa jamaa ni waaminifu, maana hili ndo gari la kwanza naagiza mtandaoni
 
Wako sahihi kabisa Proforma huwa ni document ya kwanza kabisa kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi ikionyesha bei ya kitu unachotaka kununua(Proforma kwa kifupi ni quotation).......ili ikusaidie kuandaa Purchasing Order( kwa ma kampuni) Then
Commercial Invoice inakuwa ni document/hati ya madai toka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi ikionyesha kiasi cha malipo unachotakiwa kulipa baada ya kuuziwa kitu.
 
Vizur mkuu
 
Asante mdau
 
Tumia mtu mzoefu na hayo mambo akupige push, usitake kila kitu ufanye mwenyewe katika maisha
 
Naomba ufafanuzi ili nisije kuingia matatani , Kimsingi naelekea CRDB kulipia gari kutoka kwa hawa SBT japan, Lakini najiuliza mbona wamenitumia commercial invoice badala ya Proforma invoice. Kuna mtu yoyote ashalipia gari kutumia hiyo commmercial invoice ?
Je, hawa jamaa ni waaminifu, maana hili ndo gari la kwanza naagiza mtandaoni
muhimu zaidi mkuu, kama uko Dar, tembelea kwa mawakala wa SBT Japan kwa ajili ya uhakiki wa usahihi wa taarifa za account, hii itakupa uhakika zaidi. Wakala wa SBT wako jengo la NHC House, Samora avenue, ground floor.

Pia kwa huduma clearing & forwarding ya gari yako utawasiliana nasi, tunafanya kazi kwa ufanisi, haraka, uaminifu na bei nzuri.

S.A Link Traders Ltd (clearing & forwarding company)
2nd Floor-Elite City building,
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email mail: info@salink.co.tz
Mobile: +255718 866 651 (call or whatsapp)
Website: salink.co.tz
Facebook page: https://web.facebook.com/sakink2017/
 
Back
Top Bottom