strategist
Member
- Oct 27, 2014
- 42
- 29
Wako sahihi kabisa Proforma huwa ni document ya kwanza kabisa kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi ikionyesha bei ya kitu unachotaka kununua(Proforma kwa kifupi ni quotation).......ili ikusaidie kuandaa Purchasing Order( kwa ma kampuni) ThenNaomba ufafanuzi ili nisije kuingia matatani , Kimsingi naelekea CRDB kulipia gari kutoka kwa hawa SBT japan, Lakini najiuliza mbona wamenitumia commercial invoice badala ya Proforma invoice. Kuna mtu yoyote ashalipia gari kutumia hiyo commmercial invoice ?
Je, hawa jamaa ni waaminifu, maana hili ndo gari la kwanza naagiza mtandaoni
Vizur mkuuWako sahihi kabisa Proforma huwa ni document ya kwanza kabisa kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi ikionyesha bei ya kitu unachotaka kununua(Proforma kwa kifupi ni quotation).......ili ikusaidie kuandaa Purchasing Order( kwa ma kampuni) Then
Commercial Invoice inakuwa ni document/hati ya madai toka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi ikionyesha kiasi cha malipo unachotakiwa kulipa baada ya kuuziwa kitu.
Asante mdauWako sahihi kabisa Proforma huwa ni document ya kwanza kabisa kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi ikionyesha bei ya kitu unachotaka kununua(Proforma kwa kifupi ni quotation).......ili ikusaidie kuandaa Purchasing Order( kwa ma kampuni) Then
Commercial Invoice inakuwa ni document/hati ya madai toka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi ikionyesha kiasi cha malipo unachotakiwa kulipa baada ya kuuziwa kitu.
Nafikiria Kulipia Kesho, nasubiri mawazo ya wadau wengineSubiri mrejesho mkuu, usijekuangukia mikononi mwa Wanaijeria
muhimu zaidi mkuu, kama uko Dar, tembelea kwa mawakala wa SBT Japan kwa ajili ya uhakiki wa usahihi wa taarifa za account, hii itakupa uhakika zaidi. Wakala wa SBT wako jengo la NHC House, Samora avenue, ground floor.Naomba ufafanuzi ili nisije kuingia matatani , Kimsingi naelekea CRDB kulipia gari kutoka kwa hawa SBT japan, Lakini najiuliza mbona wamenitumia commercial invoice badala ya Proforma invoice. Kuna mtu yoyote ashalipia gari kutumia hiyo commmercial invoice ?
Je, hawa jamaa ni waaminifu, maana hili ndo gari la kwanza naagiza mtandaoni