Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nimetokea kuwa mpenzi sana wa kupiga dongo...kupiga kipara..kunyoa kipara. Na hii ilitokea baada ya kugundua kuwa kuna vitu flani vya kijinga ila vinavutia sana na sana sana upande wa akina dada. Siku moja tu nilienda kunyoa fundi akanikosea kidogo nikamwambia basi isiwe shida, kichwa kizima kikwanguliwe.
Kesho yake nilipofika job ilikuwa wow! Kila mtu anasema xxxx today you look so sexy and very shababy. Basi ikawa tu wadada wanapita na kukishika kichwa changu tena walivyo wajinga wakawa wanaenda kusimuliana then anakuja mtu anajifanya kuniamkia na kushika kichwa akipapasa papasa. Mmoja akadiriki kusema kuwa mpaka amejisikia nyege maana amepata hisia kali sana kwa kushika kichwa changu.
Nikagundua kumbe hii style nayo ni bomba basi nikawa mi ni mtu wa kupiga para tu, dongo kwa kwenda mbele. Tatizo kubwa ni kuwa kila baada ya siku mbili nywele zaanza ota nami nataka liwe para sugu.
Swali ni je, hii dawa MAGIC SHAVING POWDER ina madhara yoyote kwa ngozi? Lengo langu ninunue niwe nayo najishave tu mwenyewe. Na je, nikitumia kushavia pia sehemu za siri inakuaje? Nataka niwe na kipara kila sehemu ya mwili ambako kuna nywele zisiwepo.