Je ni salama kutumia Antiperspirant au Deodorant?

Je ni salama kutumia Antiperspirant au Deodorant?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Wakuu habari za kazi,
Mada ya hapo juu yahusika sana.

Antiperspirant ni manukato yanayopakwa chini ya kwapa kwa ajili ya kuzuia jasho kutoka mwilini hivyo kufanya sehemu hiyo kuwa kavu kwa mda uliokusudiwa.

Deodorant ni yenyewe hupakwa chini ya makwapa kwa ajili ya kuleta harufu nzuri lakini hazuii jasho kutoka.

Je unadhani ipi ni salama kiafya,au zote si salama tubaki naturally tu au kuna njia mbadala? maana ukitafuta taarifa unaambiwa zote ni salama kwa matumizi.

Madaktari na wote kwa ujumla tusaidiane hapa.
Ahsante.

download.jpeg
deodorant-mistakes-3.jpeg
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitumia nivea dodoranti nilitokewa vijipu balaa kwapani.
Sshv hv sijisumbua napaka shabu ile nyie mnaeka kwenye dudu mi napaka kwapani siku nzima nakuwa kavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Antipesperant kwa mimi naona sio nzuri kwa kuwa kiasili jasho lazima litoke na hii inausaidia mwili kwa vitu vingi tu mfano jasho linapotoka halitoki maji kama maji tu huwa lina taka mwili baadhi pia mfano hormone ambazo zimeishatumika,kiwango kidogo cha mafuta,chumvi chumvi hii inausaidia mwili kubalance na pia inaipa ngozi unyevu wa asili ambao huisaidia kutokuathirika mapema ! Kwa mashambulizi ya bacteria sasa unapozuia lisitoke unadhani nini kitatokea ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka kesho sitaacha kutumia hii coz sijaona madhara yoyote ya ngozi
1549115696987.jpeg
 
Wakuu habari za kazi,
Mada ya hapo juu yahusika sana.

Antiperspirant ni manukato yanayopakwa chini ya kwapa kwa ajili ya kuzuia jasho kutoka mwilini hivyo kufanya sehemu hiyo kuwa kavu kwa mda uliokusudiwa.

Deodorant ni yenyewe hupakwa chini ya makwapa kwa ajili ya kuleta harufu nzuri lakini hazuii jasho kutoka.

Je unadhani ipi ni salama kiafya,au zote si salama tubaki naturally tu au kuna njia mbadala? maana ukitafuta taarifa unaambiwa zote ni salama kwa matumizi.

Madaktari na wote kwa ujumla tusaidiane hapa.
Ahsante.

View attachment 1011503View attachment 1011504View attachment 1011505

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize swali dogo tu,unapolizuia hilo jasho(uchafu) kwapani lisitoke huwa linaenda wapi mwilini? Jibu unalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom