Wakuu habari za kazi,
Mada ya hapo juu yahusika sana.
Antiperspirant ni manukato yanayopakwa chini ya kwapa kwa ajili ya kuzuia jasho kutoka mwilini hivyo kufanya sehemu hiyo kuwa kavu kwa mda uliokusudiwa.
Deodorant ni yenyewe hupakwa chini ya makwapa kwa ajili ya kuleta harufu nzuri lakini hazuii jasho kutoka.
Je unadhani ipi ni salama kiafya,au zote si salama tubaki naturally tu au kuna njia mbadala? maana ukitafuta taarifa unaambiwa zote ni salama kwa matumizi.
Madaktari na wote kwa ujumla tusaidiane hapa.
Ahsante.
View attachment 1011503View attachment 1011504View attachment 1011505
Sent using
Jamii Forums mobile app