Je ni sawa kufanya Hivi [emoji3590] Mahusiano

Je ni sawa kufanya Hivi [emoji3590] Mahusiano

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hili
 
Wanaume mnapata wapi ujasiri wa kueleza kuwa mnapendana na mwanamke?
Wewe elezea kuwa unampenda sio mnapendana.
Ikiwa huwezi kumpa 60k kwa mwezi wewe bado lofa achana na wanawake kalime viazi utamu.
 
Nikijizuia kucheka!!!
FB_IMG_1729031074716.jpg

Sijui nitatoboa!
 
Back
Top Bottom