Yeye anahisi wanapenda kutokana na kauli yake kama ulivo sema hapo juu ANAVYOHIS , lakni inawezekana sio hivyo.
I recall siku za nyuma nilikuwa na gf na dada zake/rafiki zake/hata ndugu zake walio kuwa wananijuia wale wakike walikuwa wananipenda sana, kwa sababu mimi nampenda dada yao/rafiki yao/ndugu yao, ndo na wao wakawa nanipenda...Huyo dogo kachanganyikiwa akisha endelea na safari yake, atakuja fahamu kama hapendwi kama anavyo fikiria yeye.
Hapo naongelea kitu kinaitwa kupendwa kwa kawaida sio kupendwa kimapenzi nadhani umenielewa.Kupenda kwa namna gani? Nijuavyo mimi si mbaya kumpenda mtu na dada yake kwani twapaswa kama binadamu tupendane. Amri kuu tuliyopewa na Muumba ni KUPENDANA so simbaya!
Kabisa kabisa huyo hata nini mana ya kupenda nadhani hajui bado, afu cha ajabu anasema; Anahisi wanampenda wote wawili, hisia sio ukweli we mwache abaki anahisi, ataendelea tu kuhisi.huwezi penda watu wawili equally.
Ikitokea hivyo, ujue hakuna 'love' labda 'lust'.
Always, hata uwe na patina 20, yupo anayekukuna haswa wengine ni kwa maslah tu.
Aachane nao wote, akasake kwingine kabisa.
akuna mapenzi mapacha ata dk 1...et unawapenda wawil..mmh apana LABDA KM ANAWATUMIA KWA MASLAHI FLAN LAKIN KM KALE KAPENDO KENYEWE KA KWELI mhh u cant love watu wawil..afu ndg wote...
ajichunguze mmoja anampenda na mmoja anampenda cz ni bf wa dada/mdg wake
This is serious, dogo kaja mbio amechanganyikiwa... he loves siblings, na anvyohisi wote wanampenda na kama na wao hawaelewi wafanyeje, they are scared to ask him and he is scared kwani bado hawajafika ile hatua ya physical nanihii
kongosho kwa mipweint bana!huwezi penda watu wawili equally.
Ikitokea hivyo, ujue hakuna 'love' labda 'lust'.
Always, hata uwe na patina 20, yupo anayekukuna haswa wengine ni kwa maslah tu.
Aachane nao wote, akasake kwingine kabisa.