Hilo ndilo tatizo la kukiuka maagizo ya mwenyezi mungu. Kimaandiko hapo hakuna tatizo labda tatizo kwa wale ambao waliamini kwamba NIck ni ndugu yao kwa kuwa aliasiliwa na Whitney!
Kwa wakristo kwenye agano la kale kitabu cha Hesabu wameandika nani anafaa au hafai kuoa ua kuolewa. Sasa wazungu wao wamevunja vikwazo vyote wamewaachia wanadamu waamue ustaarabu wao!!Hey. Be specific unaongelea agizo gani?
can you quote the actual verse please?Kwa wakristo kwenye agano la kale kitabu cha Hesabu wameandika nani anafaa au hafai kuoa ua kuolewa. Sasa wazungu wao wamevunja vikwazo vyote wamewaachia wanadamu waamue ustaarabu wao!!