Je, ni sawa kutumia viagra ili kukusaidia kwenye mazoezi?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Wakuu nimeona mtandaoni jambo la kushangaza kidogo nikaona niwashirikishe ili tupeane uzoefu. Majuzi huko Insta niliona body builder mmoja wa Kenya akisema hutumia viagra kabla ya kuingia Gym ili imsaidie kuwa fit zaidi mazoezini. Mwenyewe anasema hakuna madhara kwa upande wake.

Binafsi nikaone niingie google kujisomea makala mbalimbali kuhusiana na hili. Makala nyingi zinadai hakuna madhara mwanamazoezi kutumia viagra. Side effects zinazotajwa ni ndogo kulinganisha na faida. Soma link hapo chini.

Wanasema tafiti hupingwa kwa tafiti ila mimi nasema kuna tafiti nyingine nazipinga bila tafiti. Kwa mfano tafiti zinasema nyeto haina madhara yoyote ila kiuhalisia madhara yapo wazi kabisa. Je, ulishawahi tumia viagra kabla au baada ya mazoezi? Ilikuwaje?

 
Kila kitu kina madhara ukikitumia ndivyo sivyo.

Vp ww unatumia Kamnyweso?

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…