Je, ni sawa kwa mwanamke kufanya mazoezi mpaka akomae na kupata misuli ?

Je, ni sawa kwa mwanamke kufanya mazoezi mpaka akomae na kupata misuli ?

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Huyu mdada anaitwa Gracyane Barbosa ni mrembo wa kibrazil amejikita kwenye udansa na mazoezi yani fitness model.

Je, ni sahihi kwa mwanamke kufanya mazoezi na kuvimba kama hivi?

Gracyanne Jacobina Barbosa Vieira is a Brazilian fitness model and Carnaval dancer.
 
Raha ya mwanamke ule ulaini wake... Sasa unamtomasa unakutana na muscle ya hatari... Hata hisia zake huwa mbali unaweza sugua mpaka ukapata sugu....
Wengi wao si wanawake kamili lakini...
 
Raha ya mwanamke ule ulaini wake... Sasa unamtomasa unakutana na muscle ya hatari... Hata hisia zake huwa mbali unaweza sugua mpaka ukapata sugu....
Wengi wao si wanawake kamili lakini...
hahahah.. Ila wanasema nao wanahaki ya kupata misuli pia.
 
Back
Top Bottom