Je ni sawa mchezaji kushawishiwa abadili dini ili apewe mkataba mnono?

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Leo nimeshangazwa sana na hi story tukiwa kijiweni na walala hoi wenzangu alikuja ntu mgeni kwenye kijiwe cha kahawa katika story akajikuta ameongea hii kitu

Uarabuni ni kawaida waarabu kushawishi wageni kubadili dini kwa ahadi ya kupata marupu rupu makubwa kwenye kazi zao

Lakini sikutarajia hili linaweza kutokea Tanzania

Mleta habari

Kuna kijana moja ya klabu kubwa Tanzania aliahidiwa kwa kubadili dini aongezewe mkataba mnono na aende kwenye media atangaze kubadili huko dini

Mimi silaumu mchezaji kubadili dini inaweza kuwa ni ujinga wake kichwani lakini vipi mfadhili wa timu kuingiza mambo ya dini kwenye mpira?

Tunajua simba na yanga ni NGO za serkali sasa kwanini serkali inaruhusu wadhamini au wawekezaji wenye mrengo wa kuingiza udini kwenye hizi timu ambazo zimekuwa tuna kwenye nchi yetu ya Tanzania?

Serkali iwafuatilie hawa wawekezaji na mambo yao wanaofanya nyuma ya pazia
 
Na tangu amebadili kuzifumania nyavu kumepungua

Ila hiyo ni kawaida ya wenye hiyo dini kutumia njia mbalimbali kuhakikisha wanawaingiza watu kwenye dini kama kugawa maji kwa visima wanavyochimba kwenye eneo lao la ibada, ndoa, ajira, misaada nk
 
Ni ujinga wake kubadili dini kisa pesa. Siku wakimtema ataenda lalamika sana kwa akina millard ayo etc
 
Atakua mzize tu uyo kwanza macho yake yako kisogoni haoni goli
 
Mashabiki wa simba baada ya kufeli kwa fei wanakuja na mbinu mpya ili mdhamin wa yanga atoke yangu irudi kwenye kuchangisha bakuli, kwan wakristo wamesajiliwa wangapi toka ameingia GSM? Tengenezen timu zenu acheni uchawi na figisu kwenye timu za wenzenu
 
Leo nimeshangazwa sana na hi story tukiwa kijiweni na walala hoi wenzangu alikuja ntu mgeni kwenye kijiwe cha kahawa katika story akajikuta ameongea hii kitu

Uarabuni ni kawaida waarabu kushawishi wageni kubadili dini kwa ahadi ya kupata marupu rupu makubwa kwenye kazi zao

Lakini sikutarajia hili linaweza kutokea Tanzania

Mleta habari

Kuna kijana moja ya klabu kubwa Tanzania aliahidiwa kwa kubadili dini aongezewe mkataba mnono na aende kwenye media atangaze kubadili huko dini

Mimi silaumu mchezaji kubadili dini inaweza kuwa ni ujinga wake kichwani lakini vipi mfadhili wa timu kuingiza mambo ya dini kwenye mpira?

Tunajua simba na yanga ni NGO za serkali sasa kwanini serkali inaruhusu wadhamini au wawekezaji wenye mrengo wa kuingiza udini kwenye hizi timu ambazo zimekuwa tuna kwenye nchi yetu ya Tanzania?

Serkali iwafuatilie hawa wawekezaji na mambo yao wanaofanya nyuma ya pazia
mtu una ID ya kificho bado unaandika kwa uwoga na mafumbo,unaogopa nini
 
Back
Top Bottom