uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Leo nimeshangazwa sana na hi story tukiwa kijiweni na walala hoi wenzangu alikuja ntu mgeni kwenye kijiwe cha kahawa katika story akajikuta ameongea hii kitu
Uarabuni ni kawaida waarabu kushawishi wageni kubadili dini kwa ahadi ya kupata marupu rupu makubwa kwenye kazi zao
Lakini sikutarajia hili linaweza kutokea Tanzania
Mleta habari
Kuna kijana moja ya klabu kubwa Tanzania aliahidiwa kwa kubadili dini aongezewe mkataba mnono na aende kwenye media atangaze kubadili huko dini
Mimi silaumu mchezaji kubadili dini inaweza kuwa ni ujinga wake kichwani lakini vipi mfadhili wa timu kuingiza mambo ya dini kwenye mpira?
Tunajua simba na yanga ni NGO za serkali sasa kwanini serkali inaruhusu wadhamini au wawekezaji wenye mrengo wa kuingiza udini kwenye hizi timu ambazo zimekuwa tuna kwenye nchi yetu ya Tanzania?
Serkali iwafuatilie hawa wawekezaji na mambo yao wanaofanya nyuma ya pazia