The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Kwa bahati nzur sina familia ndio kwaza mwezi wa 8 nategemea kufikisha miaka 20 in sha AllahWe acha navyo bloo. Fanya utafute ugali na vitumbua vya watoto ishia hapo hapo. Haya mengine gharama ya kuyafatisha ni kubwa kuliko gharama ya kuyapotezea
Haya ndio madhara ya kuteuana kwa kuangalia sura na sio elim ya cheo husika tusiwe wanafiki viongozi wengi elim zao ni za kuunga unga ila uccm na majina ya familia ndio vinawabeba wakati mtaan kuna vijana wenye elim hawana ajira📌🔨❗Sijui niseme ni tukio la aina gani kufurahisha au kuchukiza au ni kukosa elimu kwa ofisi uliopewa.
Naam tukio hili linamhusisha wazir wa ulinzi wa JAMHURI YA MUUGANO TANZANIA ndug Stergomena Tax akienda kufungua mradi wa maji katika kijiji cha chitohali kata ya mkundi Tandahimba mtwara
Wazir mwenye wizara inayohusu mambo ya maji yuko wapi au mbunge alikua wapi.
Haya ndio madhara ya kuteuana kwa kuangalia sura na sio elim ya cheo husika tusiwe wanafiki viongozi wengi elim zao ni za kuunga unga ila uccm na majina ya familia ndio vinawabeba wakati mtaan kuna vijana wenye elim hawana ajira
Ndio maana basiKwa bahati nzur sina familia ndio kwaza mwezi wa 8 nategemea kufikisha miaka 20 in sha Allah
OhoooAhaaaa