Je, ni sehemu gani hapa kwetu Tanzania ambapo kunaliwa karanga pori (macadamia nuts)?

tajiri tumbo kubwa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2021
Posts
429
Reaction score
567
Natarajia wakuu mko salama kabisa, Je ni sehemu gani hapa kwetu Tanzania ambapo kunaliwa karanga pori kwa wingi au wapi panaweza limwa macadamia nuts kwa wingi, yaani karanga pori, natangulia shukrani.
 
Navyojua, mim kwasasa hapa kwetu Tanzania shamba la Namwai, lilipo siha huko Kilimanjaro ndilo pekee kubwa kwa Sasa, ingawaje maeneo ya Iringa kunamiti hyo
 
hii hapa mkuu enda google----macadamia nuts utapata kila aina ya picha hapo ya macadamia nuts
 
Back
Top Bottom