Napenda kujua sheria ya kazi ambayo inaruhusu kwa mwajiri wako kukukata mshahara kama fidia la kosa ulilolifanya kazini, na ni hatua zipi za kisheria zinatakiwa kuchukuliwa kabla mwajiri hajakata mshahara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.