N nhassall Senior Member Joined Dec 17, 2010 Posts 195 Reaction score 41 Feb 26, 2014 #1 Napenda kujua sheria ya kazi ambayo inaruhusu kwa mwajiri wako kukukata mshahara kama fidia la kosa ulilolifanya kazini, na ni hatua zipi za kisheria zinatakiwa kuchukuliwa kabla mwajiri hajakata mshahara?
Napenda kujua sheria ya kazi ambayo inaruhusu kwa mwajiri wako kukukata mshahara kama fidia la kosa ulilolifanya kazini, na ni hatua zipi za kisheria zinatakiwa kuchukuliwa kabla mwajiri hajakata mshahara?