Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Sikupewa mkuu....!unaunganishiwa maji ulipewa fomu yenye mkataba! Ndani ya mkataba kuna kipengele cha kukatiwa maji! Hebu Angalia vizuri hiyo fomu yako
Wana utaratibu wa kutoa notisi ya onyo ya mwezi mmoja kabla ya kukata maji kuhusu madeni yako! Ulipewa notisi? (kupitia simu au njia yoyote??)Sikupewa mkuu....!
Je , ni sawa kukata bila taarifa yeyote na mtu haupo? Yani unakuja nyumbani mita unakuta haipo, na uliacha umefunga geti la mlango, na kuna ukuta wa tofali kwenye fence
Sidhani kama ni sahihi kuvamia nyumba ya mtu kwa kuruka ukuta ili kung'oa mita ya maji! Vinginevyo, hii ni UVAMIZI (trespass)Sikupewa mkuu....!
Je , ni sawa kukata bila taarifa yeyote na mtu haupo? Yani unakuja nyumbani mita unakuta haipo, na uliacha umefunga geti la mlango, na kuna ukuta wa tofali kwenye fence
Haukupewa fomu ya kuunganishiwa maji? Kwanini? Hayo maji ni ya taasisi gani na kutoka mkoa gani?Sikupewa mkuu....!
Je , ni sawa kukata bila taarifa yeyote na mtu haupo? Yani unakuja nyumbani mita unakuta haipo, na uliacha umefunga geti la mlango, na kuna ukuta wa tofali kwenye fence
MaraHaukupewa fomu ya kuunganishiwa maji? Kwanini? Hayo maji ni ya taasisi gani na kutoka mkoa gani
Kina muraa mnajuana bhana, huenda ni utaratibu wenu ukute hata kuja kukufungja maji waliruka ukuta pia. Watu wa vita vita sana nyieMara
Mi najua yaliluka ukuta! Sheria inasema hivyo?Kina muraa mnajuana bhana, huenda ni utaratibu wenu ukute hata kuja kukufungja maji waliruka ukuta pia. Watu wa vita vita sana nyie
HapanaMi najua yaliluka ukuta! Sheria inasema hivyo?