T Troi2020 Member Joined Jun 4, 2023 Posts 13 Reaction score 10 Apr 1, 2025 #1 Habari za Jioni WanaJf, Je naomba kuuliza Katika kesi za watumishi wa umma ambazo zinaenda Ofisi ya Rais (Ikulu) Je vielelezo vinatakiwa vipelekwe kwa muda gani pia kesi hiyo unatakiwa iwe solved kwa kipind gan na mwenye ushahidi wa hiyo naomba
Habari za Jioni WanaJf, Je naomba kuuliza Katika kesi za watumishi wa umma ambazo zinaenda Ofisi ya Rais (Ikulu) Je vielelezo vinatakiwa vipelekwe kwa muda gani pia kesi hiyo unatakiwa iwe solved kwa kipind gan na mwenye ushahidi wa hiyo naomba
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,459 Reaction score 100,799 Apr 1, 2025 #2 Inategemea ina maslahi Gani kwao...
phzhenry Member Joined Jul 15, 2021 Posts 60 Reaction score 60 Apr 2, 2025 #3 ushahidi upi unataka mkuu, solved case or vielelezo vya kesi vinavyopelekwa?