Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 26
Pole lea mtoto usipelekwe kwa RC makondaNi mke wangu wa ndoa kabisa ndgu yangu ila Bado hatujapanga kupata mtoto wa pili ndo maana naomba msaada ili niweze kujua na kuchukua hatua mapema.
Wakuu naombeni msaada wenu ili nipate kuelewa hapa.Habari wakuu, mke wangu mzunguko wake hubadilika kila mwezi,, hapa nimechukua miezi kadhaa, Nov 2017=32, Dec 2017=25, Jan 2018 =27, febr2018=26, March =27,, na mwezi huu kaingia kwenye siku zake tar 01/04/2018 naomba kujua je kwa leo 19/04/2018 yupo kwenye siku za hatari maana imetokea ajali kazini wakati tukishiriki tendo la ndoa,,, Naomba msaada wakuu.
Hapana hawez pata mimba km bleed alianza tar hiyo 01/04. Mara nying ovulation hutokea siku ya kuanzia 13-15 toka bleed km mzunguko haupo ktk mpangilio mzur, ila mara nying inakuaga siku ya 14, ila ukipiga ck 2 na ck 2 baada ya ovulation ni kuna uwezekano wa mimba. Yan sik mby ni kuanzua ya 12-17Habari wakuu, mke wangu mzunguko wake hubadilika kila mwezi,, hapa nimechukua miezi kadhaa, Nov 2017=32, Dec 2017=25, Jan 2018 =27, febr2018=26, March =27,, na mwezi huu kaingia kwenye siku zake tar 01/04/2018 naomba kujua je kwa leo 19/04/2018 yupo kwenye siku za hatari maana imetokea ajali kazini wakati tukishiriki tendo la ndoa,,, Naomba msaada wakuu.
Asante sana A.J:Hapana hawez pata mimba km bleed alianza tar hiyo 01/04. Mara nying ovulation hutokea siku ya kuanzia 13-15 toka bleed km mzunguko haupo ktk mpangilio mzur, ila mara nying inakuaga siku ya 14, ila ukipiga ck 2 na ck 2 baada ya ovulation ni kuna uwezekano wa mimba. Yan sik mby ni kuanzua ya 12-17