Its SWAUM from narrated of Prophet Muhammad PBUHim, huwa hasemi kwa matamanio yake ila ni wahyi, Kwa kiswahili ni funga yaliobaki ni makosa ya KISARUFI na MANTIKI...
Neno Sahihi ni Swaum na hilil
inatokana na neno la kiarabu hususan kikuraishi lugha iliyoandikwa kuran. Neno lenyewe kwa kurani lina herufi tatu ambazo ni swad, wau na mim. ingekuwa herufi ya kwanza no sin ingekwa saum,