Je, Ni tatizo? Nifanyaje?

....kwa nini anazimia? kichaa sijui upo wapi ila huku ughaibuni watu wanaishi normal sema wanahitaji long term medication to control it...kama upo bongo nadhani upige mahesabu ya kulipia hayo madawa ya kucontrol kichaa chake...na pia kuna chance ukarithishisha wanao,chance ni 50,50......sasa wewe mwenyewe weigh the risks uone kama utaweza kuubeba huo msalaba ama la....
 
I'm so sorry man, kila ushauri ninaotaka kuutoa dizaini ka nafsi yangu inasita.
 
Aisee, pole sana n hongera sana kwa moyo wako wa huruma na ukarimu na wa upendo juu ya binti tajwa.Nimesoma comments zote nimeweza kugundua kuwa wewe na binti tayari mlisha fanya mapenzi, wakati mlipoonana. na hili umelisema uliposema you had good time together.

Pia nimegundua kuwa bint yuko muwazi sana kwako na wewe binafsi moyo wako umefunguka sana kwake kiasi kwamba now you feel guilty of breaking up, na siyo hilo tu bali pia bali unamuwazia ataachwa na wangapi, na unahofia akieza soma hisia zake kuwa sababu ni hayo matatizo basi ataumia sana.

By considering all these facts kwanza naomba nijaribu kubuni familia hii inatatizo gani. Yawezekana kabisa hii familia ina ugonjwa wa kifafa, kitaalamu huitwa seizure disorder. tatizo hili laweza kuwa pronounced under the following headings:-
•Nervous system conditions -hizi hushambulia mfumo wa ufahamu hasa nerves na neurones
•Seizure conditions -hiki huwa ndio typical kifafa chenyewe
•Brain conditions- hii hushambulia zaid ubongo

anyway am not a doctor but just giving you a lead.

sasa kutokana na hayo symptoms na treatment waweza kuzijua vizuri utakapomwona Dr kwani nikiandika hapa ni ndefu sana. Kutokana na hali halisi magonjwa kama ya kuzimia na kichaa ni possible kabisa kwa hii familia na ukisoma vizur you will understand what i mean.

Back to the point, nikirejea nyuma katika maelezo yangu ya awali, na kwa kuconsider factors zote sisemei ushabiki na niko radhi kupingwa she is your true wife. sina cha kuongeza zaid ya hapo.


ushauri mpeleke hosp akapimwe vizuri ili ujue wawezaje kujikinga na madhara ya baadae. Kurith kwa wanao au la kunategemea mambo mengi pia. Pia wewe mwenyewe assess ukoo wako kama kuna vichaa, au watu wenye vifafa basi usioane na huyu binti manake hapo unaongeza risk ya kuzaa disabled kids ila kama hamna its not a big deal as you can work on the matter before. siku hizi technology imepanuka sana ukimuoa na b4 conception mkaenda kwa dr atawashauri na hata mwez wa kwanza wa conception pia atawashauri nini cha kufanya ili kuwakinga wanenu na possible effects.
 
HASARA ZA KUSEMA UKWELI.....Unaona sasa dada wa watu anakosa mume hivi hivi!!!!!
 
hakunaa hasara hapo ila nimefurai yeye kuwa mkweli kuliko kunifichaa nikawaa deep na yeye deep zaidi ikasababisha matatizo mengine nikija kujua ukweli
HASARA ZA KUSEMA UKWELI.....Unaona sasa dada wa watu anakosa mume hivi hivi!!!!!
 
mkuu ni kweli unacho semaa,ila katikaa ukoo wangu hakuna hayo matatizo.nitajaribu kufata ushauri wako asante sana
 
asee duh!!kibongo bongo mtihanii kweli jestina...
 
ameniambia anakujaa mwezi huu,nataka nikaone wa taalamu wa afya japo yeye kaniambia ashaangaika kwa ma dr wengi tena mabingwa kwa miaka minne sasa haijasaidia.napendaa kumsaidia maana licha ya penzi ila roho yangu imejawa na urumaa juu yake kama binadamu mwezangu
 
napendaa sanaa kumsaidia,na je ikitokeaa haitibiki,je kuhusu kuishi nae huoni kama itazidi kumtia machungu akigundua siwezi kumuowaa...
hmm jaman kweli kuna mengi dunian..msaidie tu huwezi jua jicho la mungu linakuangalia kiasi gan....atakuepushia na hayo unayohisi yatakuja tokea
 
unachosemaa nikweli maybe anajaribu kujua msimamo wangu je nita mkimbiaa au?maana ni mtihani mgumu kweli hauitaji degree ya chuo kikuu kuuvuka...nakama kweli ntafanyaje?dah!!hii dunia full mitihani...tushashare nice moment pamoja je itawezekana kumfanya dada wa iyarii kwangu na weza kumsaidia kadri ya uwezo wangu na kumpa faraja jee?yeye katika roho yake atanifikiri aje?
unaweza usimuoe kwa sbb kuna walakini tayari!!unaonaje ukimfanye dada wa hiari!naona ni mtu mwema kwako!!au mpeleleze kujua kama anachokisema ni kweli labda anataka kuona msimamo wako uko vipi!
 
asante kwa ushauri mzuriii
 
unamaanishaa?mkuu najua na ndo kitu kinanipaa ugumu katika moyo wangu,leo na mkimbia yeye ila kesho yananikuta makubwaa zaidi kwanngu,pia na fikiria kuhusu feture yangu kama kijana ambae ndo naaza maisha itakuwa vipi?asee naombaa mungu sana
Hujafa hujaumbika!
Mzima wa leo, kilema wa kesho!
Wewe kuwa mzima si juhudi zako binafsi au wazazi wako!
 
unamaanishaa?mkuu najua na ndo kitu kinanipaa ugumu katika moyo wangu,leo na mkimbia yeye ila kesho yananikuta makubwaa zaidi kwanngu,pia na fikiria kuhusu feture yangu kama kijana ambae ndo naaza maisha itakuwa vipi?asee naombaa mungu sana

Umenipata vyema.
Kikubwa ni kuwa unampenda, kama unampenda utamsaidia na kuwa naye wakati mkitafuta suluhu la tatizo lake. Mimi nina msemo huu:

"There is a solution to every problem if only we know where to look"
Kuna majaribu zaidi ya hayo na watu wanayashinda.

Follow your heart broda.
 
pole sana... soma 1 wakorintho 13.... hilo ndo jaribu lako unapaswa ulishinde, kama mmependana unaweza kuendelea naye, pia kama wewe ni mtu wa Mungu unaweza kulimaliza hilo tatizo kwa maombi na kuwaona wachungaji, pia mpeleke huyo mwenzio hospital kupata ushauri au tiba kitaalam.
 
dah!!sio bange ni kitu cha kwelii na kinaniwekaa katikaa wakati mgumu sanaa,nashindwa kuamuaa,baada ya kufikiria mabange nipee mawazo bana smile

Magonjwa hayo mbona yanatibika? Ni PM kama uko serious na umedhamiria kutumia nguvu zako kutoa tiba. Halafu jaribu kuedit post zako, hizo aaaa zinatatiza wengine ndio maana wanafikiri ni bange: andika sijua sio sikujuaaa
 
kichaa kweli kinarithiwa na hiyo anguka yake inaweza kua kifafa ambacho pia hurithiwa.

nilichompendea huyu binti ni kua mkweli. wengine wana matatizo ya kifamilia lakini hawasemi, hata kama yeye hana. mnazaa mtoto ana matatizo mtu kakauka. kuna familia naijua walipeleka mtoto hadi india kwa kifafa, wakati mke anajua kwao nusu wana matatizo hayo lakini kakauka. siku ya siku baba kujua alitoa talaka kali, japo mtoto yule aliamua kubaki nae maana alisema mtoto ni wake na keshamzoea. kisa cha talaka ni mama kuacha watupe mapesa chungu mzima miaka yote wakati anajua tatizo wanalo kifamilia.
fuata moyo wako unavyosema, most important umejua mapema matatizo ya mwenzio.
 
Ungejua kwamba Mwanamke akiolewa haachwagi usingeuliza huu ujinga, mtu mmekutana tu wawaza kuoa! *****

 
Ungejua kwamba Mwanamke akiolewa haachwagi usingeuliza huu ujinga, mtu mmekutana tu wawaza kuoa! *****
MKUU KAMA UMEDANDIAA TRENI VILE...kwani mtu wakuowaa unazaliwaa nae au?maana najua hata baba na mama ako walikutana kwanza wakajuana ndio wakaowana,sa bilaa kukutana na kufahamiana utamuowaje,pole kama nimekukera
ila no hard feeling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…