Je ni uchawa au watu wa Media watupu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Yaani ukisikiza maswali yao ni ya kishabiki na utoto mwingi wakati viongozi wa Chadema kila hoja walikuwa na data za kuonyesha. Hata maswali ya kisheria watu wa Media wamekuja na vijimameno ya vijiweni hawazielewi. Uchawa umegoma kwa kuzidiwa hoja. Badala ya kujali taifa ni uzushi na ujinga ujinga “ non sense”
 
Nimewadharau sana Wahariri
 

kwa mfano: sikuwa ninafahamu kuwa Abdala Majura ni mtupu kiasi kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…