ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #321
Umewahi kushuhudia watu wakifarakanishwa na kuachana kabisa?Mimi sizungumzii chanzo cha kuharibika mahusiano ya watu bali nazungumzia jinsi ambavyo uchawi unaweza kutumika kuharibu mahusiano, kuna watu waume zao wana mahusiano ya nje huko, hivyo moja ya mambo ambayo watu hutumia uchawi ni huko kuachanisha/kufarakanisha mahusiano kama hayo. Sasa kesi kama hiyo mganga anatumia saikolojia gani hapo kumdanganya mteja wake?
Hiyo officeWatu wengi wanadhani uchawi upo africa tu...ila hawajui kama wachawi walo dunia nzima, hadi wazungu wachawi wapo na wao si kitu cha kujificha, huwa wanafanya wazi wazi kabisa na magician unamkuta ana ofisi na yuko proud na kazi yake tofauti na huku Africa jambo linaloonekana ni la taboo na aibu sana.
Sasa kama Dar watu wanahamia kila siku iweje uone kuwa hao wanaohamia sio wachawi miongoni mwao au wenye tabia za kwenda kwa waganga kuroga wenzao? Dar mbona wachawi wamejaa tu tena sana sehemu ambazo kuna wazawa.Kuna special case hutokea pale mtu alilogwa akiwa mkoani kisha anahamia Dar akiwa mgonjwa tayari ila anakuja kushtukia mbeleni wakati yuko Dar maana Dar watu wanahamia kila siku
yeah ila kwao unakuta zimefunguliwa kabisa downtown na watu wanaenda kufata huduma zaoHiyo office
Kwa huku ndiyo kilinge sio?
mie niliwahi kumtoa majini na mtu akapona alikuwa mama mmoja mtaan kwetu nilikuwa nasikia ana mapepo sijui majini mie nikaenda akiwa muislam namsomea sura ya majini na suratul baqra aya 102 Ile ya uchawi hapo lazima uyo jini atoke akiwa mkristo ndio rahisi natumia jina la kristo nachanganya na uchawi wa maneno na majina ya kichawi na ya Mungu kama Yahwe hapo lazima atapona tuSawa bin shetani sema kwa hiyo username nilidhani utakuja kusema uchawi upo 😃
Hata uchawi unaweza kutumika kwenye mazingaombwe pia kufanya macho ya watu kuona vitu kinyume na uhalisia, ni burudani tu.Mazingaombwe tu.
uchawi haupo kwakuwa unawapata watu wenye akili finyu that's why tunawashangaaMtu anayekataa uchawi kuwa haupo jua kuwa hajafikiwa na madhars yake moja mwa moja. Ni kawaida kwa mwanadamu kubisha na kupinga jambo ambalo hana uwezo wa kuliona,kulisikia ama kulishika.
Mfano tunaona kuna watu wanakataa uwepo wa Mungu kwasababu tu hawamuoni, hawamsikii au hawawezi kumkaribia. Vivyo hivyo uchawi na majini ni miongoni mwa vitu vya ghaibu (unseen) kwa maana visivyoonekana kwa macho haya ya kibinadamu. Ila ukweli ni kuwa vipo.
Mfano majini wapo wengi kuliko sisi wanadamu hapa duniani ni vile Mungu katuzuia tusiweze kuwaona kwa macho yetu ya kibinadamu mpk pale wanapochukua maumbile ya vitu tulivyozoea kuviona kama vile nyoka,ng'e, mbwa mweusi n.k...
Hakika siku ya Qiyama watu waliomkataa Mungu hapa duniani watabaki midomo wazi sana pale watakapoweza kuona kwa macho yao unati mkubwa sana wa majini na malaika.
Kabla ya mimi kukufanyia huo uchawi ni yapi uliyowahi kuyafanya katika kutaka kuthibitisha uwepo wa uchawi hadi ukajiridhisha bila ya shaka hakuna uchawi?Uliuona wapi, unafananaje huo uchawi.
Nilikuruhusu unifanyie huo uchawi. Alafu uje utoe ushuhuda humu
Hata huko unakosema kama hao wachawi wangekuwa wanatumia uchawi kuroga watu kwa kuwaletea madhara wasingejiweka wazi.Watu wengi wanadhani uchawi upo africa tu...ila hawajui kama wachawi walo dunia nzima, hadi wazungu wachawi wapo na wao si kitu cha kujificha, huwa wanafanya wazi wazi kabisa na magician unamkuta ana ofisi na yuko proud na kazi yake tofauti na huku Africa jambo linaloonekana ni la taboo na aibu sana.
Aiseee dah!Mtu anayekataa uchawi kuwa haupo jua kuwa hajafikiwa na madhars yake moja mwa moja. Ni kawaida kwa mwanadamu kubisha na kupinga jambo ambalo hana uwezo wa kuliona,kulisikia ama kulishika.
Mfano tunaona kuna watu wanakataa uwepo wa Mungu kwasababu tu hawamuoni, hawamsikii au hawawezi kumkaribia. Vivyo hivyo uchawi na majini ni miongoni mwa vitu vya ghaibu (unseen) kwa maana visivyoonekana kwa macho haya ya kibinadamu. Ila ukweli ni kuwa vipo.
Mfano majini wapo wengi kuliko sisi wanadamu hapa duniani ni vile Mungu katuzuia tusiweze kuwaona kwa macho yetu ya kibinadamu mpk pale wanapochukua maumbile ya vitu tulivyozoea kuviona kama vile nyoka,ng'e, mbwa mweusi n.k...
Hakika siku ya Qiyama watu waliomkataa Mungu hapa duniani watabaki midomo wazi sana pale watakapoweza kuona kwa macho yao unati mkubwa sana wa majini na malaika.
So unaamini haya mambo aumie niliwahi kumtoa majini na mtu akapona alikuwa mama mmoja mtaan kwetu nilikuwa nasikia ana mapepo sijui majini mie nikaenda akiwa muislam namsomea sura ya majini na suratul baqra aya 102 Ile ya uchawi hapo lazima uyo jini atoke akiwa mkristo ndio rahisi natumia jina la kristo nachanganya na uchawi wa maneno na majina ya kichawi na ya Mungu kama Yahwe hapo lazima atapona tu
Tushashuhudia mengi tu watu kufarakana, watu kufanywa wahame makazi n.kUmewahi kushuhudia watu wakifarakanishwa na kuachana kabisa?
Alooo sawa mkuuTushashuhudia mengi tu watu kufarakana, watu kufanywa wahame makazi n.k
TOFAUTISHA SANAA ILIYOPO NYUMA YA MAZINGAOMBWE VS UCHAWI ILI KUTHIBITISHA HOJA YAKO KWAMBA VITABU VYA DINI VIMEANDIKA UONGO HUSUSANI KWENYE SEKTA YA UCHAWI
Sikuona kilichofanyika zaidi ya kutiwa hofu kwa hao wanaoamini uchawi.Kabla ya mimi kukufanyia huo uchawi ni yapi uliyowahi kuyafanya katika kutaka kuthibitisha uwepo wa uchawi hadi ukajiridhisha bila ya shaka hakuna uchawi?
Next time inabidi upate trip ya sumbawangaKwangu mimi kwa jambo kama la uchawi ushuhuda wa watu wengine
Tena wenye mkanganyiko haunitoshi mimi kukubali hiyo dhana ya uchawi
But naheshimu uamuzi wako
Na mimi siku nikishuhudia kama ulivyoshuhudia wewe nitakuja na story nyingine
Kwanini sumbawangaNext time inabidi upate trip ya sumbawanga