Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Mkuu madawa ya kulevya si na pingwa? Wizi si unapingwa? β¦β¦β¦β¦ kwahiyo uchawi kupingwa ndio ishindikane kuuthibitisha upo?Uchawi upo, majini yapo na kila ulichoambiwa kipo wala sio saikolojia kama unavyoamini
Kwanini technolojia ya kupaa isihalalishwe ili kupunguza foleni hilo jambo haliwezekani kwa sababu lipo kiimani, litawezekana tu kama wote mnaimani ya uchawi maana litakuwa jambo la kawaida, ila as long as ipo nguvu kinzani na mambo ya giza hilo jambo halitakaa liwezekane
Kuna kisa nimekisikia japo sijakishuhudia huku niliko, asubuhi hii nitakiweka πππWho are you π
JifarijiNakubaliana na wewe 100%
Wewe uko based na IMANI wakati Mimi nataka FACT
Thibitisha uwepo wakeUchawi upo, majini yapo na kila ulichoambiwa kipo wala sio saikolojia kama unavyoamini
Kwanini uchawi haifanyi kazi mpka uaminiKwanini technolojia ya kupaa isihalalishwe ili kupunguza foleni hilo jambo haliwezekani kwa sababu lipo kiimani, litawezekana tu kama wote mnaimani ya uchawi maana litakuwa jambo la kawaida, ila as long as ipo nguvu kinzani na mambo ya giza hilo jambo halitakaa liwezekane
Usisahau bro πKuna kisa nimekisikia japo sijakishuhudia huku niliko, asubuhi hii nitakiweka πππ
Au sio πππUsisahau bro π
Sawa ngoshaAu sio πππ
Ngoja nitulie kwanza.
Mkuu hebu nyooka nikuelewe
Unaamini uchawi upo au haupo
Halafu tuendelee
Ni hivi kuna taarifa jana niliisikia japo sikushuhudia kwa sababu hapa ni mgeni. Kuna jamaa alikamatwa ndani chumbani kwa Dada fulani. Usiku wa manane halafu milango ilikuwa imefungwa.Sawa ngosha
Ahaa basi sawaNdiyo, ninaamini uchawi upo. Lakini siamini kwamba kila tukio linaloitwa βuchawiβ ni uchawi, baadhi unaweza kuwa udanganyifu, kisaikolojia au una maelezo ya kawaida.
Siwezi kuthibitisha kitu ambacho hakipoSasa nimejibu wazi. Tuende kwenye ushahidi: lete ushahidi unaothibitisha kwamba uchawi haupo.
Heeeeeeh watu walipeana miadi wakulane sijui wameshindwana niniNi hivi kuna taarifa jana niliisikia japo sikushuhudia kwa sababu hapa ni mgeni. Kuna jamaa alikamatwa ndani chumbani kwa Dada fulani. Usiku wa manane halafu milango ilikuwa imefungwa.
Baada ya kunasa mule ndani yule dada alipiga kelele watu wakajaa usiku wa manane, yule jamaa alikuwa ndani ya bukta tu hivi aliingiaje mule ndani ? Aliyekuwa anasimulia anasema mwamba alikuwa ana bonge la hirizi mkono wa kulia.
Huu ni uchawi kabisa aisee sio nadharia
Sina uhakika niliambiwa lakini Mwamba inaonekana domo zege π€£ kwanini aingie usiku wa manane aafu amejifunga hirizi ?Heeeeeeh watu walipeana miadi wakulane sijui wameshindwana nini
Mnasema mwanaume mchawi π€£π€£
Mimi sijui kaka π πSina uhakika niliambiwa lakini Mwamba inaonekana domo zege π€£ kwanini aingie usiku wa manane aafu amejifunga hirizi ?
Nime update rudia kusoma tenaMimi sijui kaka π π
Au walikubaliana kabisa
Nimesoma ni zaidi ya chai ni kahawa kaka π€£Nime update rudia kusoma tena
Binafsi nimekua nikisimuliwa kuhusu uchawi...Hello jamii intelligence π
Wakuu hii habari ya uchawi nadhani sio jambo geni
Uchawi ulitajwa kwenye vitabu vya dini hasa hivi maarufu Bible&Qur'an
Kwa bible mfano Kutoka 22:18 inasema:
Usimwache mchawi kuishi
Huu ni ushahidi kua Bible inatambua uchawi
Uchawi umetajwa pia kwenye Qurβan, hasa Al-Baqarah 2:102 ambapo inazungumzia habari ya uchawi na watu kujifunza mambo hayo
Huu nao ni ushahidi Qur'an inatambua habari za uchawi
kwa mantiki hii dhana ya uchawi ni ya kale sana
Huku Africa watu bado wamekumbatia hii imani sana, sijui huko Ulaya ikoje
Utasikia mtu anasema
π
Mtoto huyu karogwa, sio akili zake.
Hapa tunaona uchawi unatajwa kama kitu ambacho kinaweza kubadilisha hali ya mtu
Alikuwa mzima, ghafla akawa kichaa au mtu asie sawa kama alivyokua kabla
Mtu anaumwa, unaambiwa karogwa
Sasa najiuliza...
Uchawi umetengenezwa au umeundwa kwa kufanya vitu negative tu?
Hakuna namna huo uchawi kama upo unaweza kutumika kwa njia positive?
Yaani tukaamua kutumia akili ya mtu kilaza akawa genius, kama vile inavyoaminika kwamba uchawi unaweza kumbadilisha genius kuwa kilaza?
Kuna hii piaπ
Ooh, wachawi wanapaa usiku...
Kwanini sasa kama hiyo technology ipo tusiitumie kupunguza foleni?
Huo usafiri wa kupaa uwe official sasa
Nyie wachawi wa JF(jokes)
haiwezekani kuwa hivi yaani huu uchawi ukawa na tija?
Hivi uchawi unafanya kazi kweli au ni mambo ya nadharia tu?
Niliwahi kua na matatizo ya kupata maumivu ya kicwa nakizunguzungu
Basi kuna mtu akamwambia mama:
Huyu ShesRise_1 amelogwa asifanye vizuri shuleni na si haba shuleni nilikua najitahidi kwahiyo huyo mama akamuambia mama angu huenda nimelogwa ili nirudi nyuma kimasomoπ€
Heh! π€
Nikastuka
Nikawaza, haya yatakuwa mambo gani?
Basi nikaanza kufanyiwa zile zinazoitwa tiba za Kisunna, visomo na mambo mengine
Ajabu ni kwamba kuanzia pale ndiyo kwanza nikaanza kupata maruerue.
Usiku naogopa kulala mwenyewe.
Naota ndoto za ajabu, heh... tafrani mtindo mmoja
Kumbe ile issue ya kuanza kuota mauza uza ni kwa sababu
ya saikolojia bana
Yaani saikolojia kwa maana baada ya kusikia nimelogwa na kupelekwa kwenye visomo
Ndiyo ubongo ukaanza kuniundia mapicha picha
So nilivyoambiwa tu vile, akili yangu na ubongo wangu vikaanza kujishughulisha na hayo mambo
Mara nione hiki...
Mara nisikie kile...
Mara nianze kujiuliza, Hivi huu ni uchawi gani?
Asieee!
Nikakaa nikasema:
Hapana, hizi mbona kama fix?
Na mimi by nature nina kaubishi fulani sipendi kumezeshwa mambo japo mwanzo wali ni win
Nikaacha kabisa huo upuuzi
Nikaamua ku-clean akili yangu
Kuanzia hapo nikiambiwa
Njoo kwenye visomo
Nawaambia
Mimi sina tatizo lolote
Na kweli, nilifanya vipimo hospitali nikambiwa kicwa kilikuwa kinauma kwa sababu sikuwa na damu ya kutosha, na ndiyo maana nilikuwa naumwa kicwa na kizunguzungu
Na hata sijui ilikuaje na mama akaingia kwenye mtego wa rafiki yake akaacha kunipeleka hospital kwanza akaanzia kwenye imani huku
Nikatumia zangu dawa nikawa fresh
Sijaumwa tena kicwa, labda cha mafua tu
Sioni mauza mauza wala nini
Naishi vizuri kabisa
Ndipo nikaja kugundua kumbe mambo mengine ni saikolojia tu
Wala hakuna cha uchawi wala nini
Na kuna hii pia ya majini kutaja uchawi bila majini sio sawa ni mtu na shoga yake
Sasa imagine eti mtu anapandisha mashetani anataka dhahabu...
Heh! Dhahabu sasa inatoka wapi yani?
Mashetani wana migodi yao huko?
Nimetoa mtazamo wangu kuhusu hii dhana ya uchawi
Je, uchawi ni nguvu halisi?
Au wakati mwingine tunaita kitu uchawi kumbe kuna sababu za kiafya, kisaikolojia au mazingira ambazo hatujazijua?
Na kama kweli uchawi una uwezo wa kumbadilisha mtu kutoka kuwa genius mpaka kilaza...
Kwanini usitumike kinyume chake?
Au kama wachawi wanaweza kupaa...
Kwanini bado tunakaa kwenye foleni?
Kama hii dhana ya uchawi haina tija kwanini tuna ing'ang'ania?
ShesRise_1 βοΈ
Mimi pia mkuu hakuna tukio au mazingira niliyowahi kukumbana nayo nikasema hili tukio ni uchawiB
Binafsi nimekua nikisimuliwa kuhusu uchawi...
Nimekuwa mtu mzima sasa SIJAWAHI KUSHUHUDIA UCHAWI KWA MACHO! Ama kuthibitisha!, wala kujiridhisha kwa tukio lolote lile nililoliona kwa macho na moyo wangu kujiridhisha na kuamini kuwa huu kweli ni UCHAWI!
Nachelea kusema ni dhahania tu!
Acha kunikatisha tamaa π€£Nimesoma ni zaidi ya chai ni kahawa kaka π€£
Acha kunikatisha tamaa π€£Nimesoma ni zaidi ya chai ni kahawa kaka π€£
Ulipiga teke ukuta kaka utaachaje kuvimbaπ πAcha kunikatisha tamaa π€£
Nimekumbuka tukio jingine mwaka 2007 kuna kibibi nilikipiga teke la taya nikiwa nimelala usiku mpaka mguu ulivimba πππ
Nikiandika utaona chai β π π€£