Niko kijijini sana haya maduka hakunaNenda duka la dawa za mifugo humu utapewa siasa tu
Habar wajasiriamali! Kuku wangu vifaranga wanaugonjwa ambao wanafumbua mdomo huku ukielekea juu kama wanapiga mihayo!! Je, ni ugonjwa gani huo na tiba yake ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafua hayo wachunguze puani kama wana majimaji and nunua fluban au wape pilipili kichaa wanywe
Mafua hayo wachunguze puani kama wana majimaji and nunua fluban au wape pilipili kichaa wanywe
Hamia mjini kama hakuna huduma. Asilimia kubwa tumezaliwa na kukulia vijijini na tulikuwa tunasafiri kufuata huduma hizo hata kama ni zaidi ya masaa 5 kwa miguu