Elections 2010 Je, ni uoga au kuna siri?

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Kila nikijaribu kucheki comments za uchaguzi wa mwaka huu, naona zinatolewa na wanaume tu...! Jamani tunatafunwa na nini? Ni kwamba wadada/wamama zetu wamefanikiwa kutishiwa kuwa iwapo watachagua upinzani kutatoweka amani? Au ni siasa siri za mama salma na wanawake nchini? Ningeomba dada zangu na mama zangu watujuze siri iliopo...!
 
Hii siyo kweli, kuna wanawake wengi tu wanajitokeza kutoa maoni yao kuhusu uchaguzi wa mwaka huu!mbona hata wewe umejitokeza mara nyingi sana kutoa maoni yako bila woga ingawa ni mwanamke?
 
unamanisha humu JF!... unajuaje kama user ID Flani ni ya kike au ya kiume! ...? :doh: hebu nijulishe Invisible ni robot! ni mke/ mume?!
 
Hii siyo kweli, kuna wanawake wengi tu wanajitokeza kutoa maoni yao kuhusu uchaguzi wa mwaka huu!mbona hata wewe umejitokeza mara nyingi sana kutoa maoni yako bila woga ingawa ni mwanamke?
ni tusi mkuu.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…