Je ni uoga tu au kuna la zaidi?

Kupima ngoma msikilizie bora upime ujikute upo safi lakini ukipima ukajikuta vitu vimechafuka mmh sijui nn kitatokea kwa wenye miioyo miepesi kama hewa hapo tunaanza kuzungumzia mambo mengine mmh.
 
Kupima ngoma msikilizie bora upime ujikute upo safi lakini ukipima ukajikuta vitu vimechafuka mmh sijui nn kitatokea kwa wenye miioyo miepesi kama hewa hapo tunaanza kuzungumzia mambo mengine mmh.

Unaweza ukaya uko freshi kabisa lakini ukapima na kuambiwa unavyo...hapo unaweza ukaugua ghafla na kufa baada ya siku chache tu wakati otherwise ungeweza kupeta na hivyo virusi hata kwa miaka 20 bila hata kujua kama unavyo.
 

Omega ni kweli kabisa usemayo na mimi sijasema kuwa dna haina umuhimu but nawe fikiria uko na mpenzio ambaye unamwomba muwe na kawaida ya kupima VVU then anakasirika kwa kuwa anahisi humuamini then after a while unagundua amekuambukiza ugonjwa? utajisikiaje au rather utamfanyaje? ni wanaume au wake wangapi wanawaletea wake au waume zao UKIMWI na kuwaacha wakiteseka?

Mie bado nasema tujenge utaratibu wa kucheck yaani tuufanye ni sehemu ya maisha yetu.
 
Unaweza ukaya uko freshi kabisa lakini ukapima na kuambiwa unavyo...hapo unaweza ukaugua ghafla na kufa baada ya siku chache tu wakati otherwise ungeweza kupeta na hivyo virusi hata kwa miaka 20 bila hata kujua kama unavyo.
Na ndio maana kuna kurudia mara tatu- kama wewe umekuwa muaminifu ndani ya ndoa yako na mwenzio ameonekana hana una haki ya kukata rufaa -unless umekuwa kiruka njia.

Hata hivyo ukigundulika si kuna ushauri nasaha wajameni? hebu tubadilikeni wapenzi
 

Kwa kweli ukiambukizwa virusi na mwenzako si haki kabisa kama wewe ulikuwa mwaminifu na yeye kavipata hivyo virusi kwa njia ya ngono na wengine (kwani virusi vina njia nyingine za maambukizi).

Ndio maana mimi nina mtazamo tofauti kidogo ikija kwenye haya mambo ya mahusiano. Mtu ukiamua kuwa na uhusiano na mtu ujue unachukua risk flani na maisha yako.

Na utaratibu wa kupimwa mara kwa mara si mbaya. Lakini ukiwa na mwenzako na mmekubaliana kutoka exclusively, nini haja ya kupimwa mara kwa mara? Huoni kwamba mke na mume kwa mfano, kwenda kliniki mara kwa mara kupimwa ukimwi ni jambo linaloashiria hakuna uaminifu ktk ndoa yao?
 
MJ1, ukisoma post ya farmer... inajieleza wazi, kwamba kupima kunahusishwa ka kukosa uaminifu kuliko maana halisi ya kupima

soma post yako ya kwanza inaonyesha wazi kwamba main purpose ni kwasbabu ulimuacha peke yake kuliko kingine; which is exactly a similar scenario na ile ya mwanaume kuomba DNA.... wea re all scared of being the prime suspect even though deep inside we know that we are not guilty

sijui...
 


Nawakilisha
 
Kupima ngoma msikilizie bora upime ujikute upo safi lakini ukipima ukajikuta vitu vimechafuka mmh sijui nn kitatokea kwa wenye miioyo miepesi kama hewa hapo tunaanza kuzungumzia mambo mengine mmh.

Fidel na ndio maana kuna counselling kaka yangu.
 

hahahaaa hahahaaaaa heheheeee... yani wewe!! ningejua ningekususia mazee, kumbe ni ule uchokozi wangu sio!!??
 
Omega ni kweli usemayo but kwenye post yako iliyopita umesema mwenyewe kabisa kuwa tunaishi katika dunia isiyo na uaminifu- why umwamini mwenzio kiasi hiki? tena ukiwa unapewa na takwimu za wanandoa kuongoza kwa UKIMWI?

Kuna wengine wana utaratibu wa kupima malaria kila mara na kunywa anti-malaria kwa kinga why isiwe kwa UKIMWI?

Mi naona leo kichwa changu hata si kizuri.
 
you nailed it!!! kama tunapima kwasababu ya maambukizi basi ujue ni split second tu mtu anapata

suala la kupima DNA na HIV lazima viende sambamba... zote ni methods za quality check kimtindo
 

Aksante nadhani inatubidi tubadili hiyo dhana hapo juu.

Well niliiweka hivyo kwa kuwa ndiyo inayoelekea kukubalika kuwa kwa kuwa mmekuwa mbali chances ni kubwa kuwa wote au mmoja wenu anaweza akawa amechepuka nje ya mahusiano, so ni halali mkienda kucheck kwa ajili ya kujilinda wote

But I guess nilikosea kuiweka hivyo pengine ningesema tu muda wote ni muhimu kujua afya zenu through utaratibu maalumu.
 

I guess ni bora nilivyoamua kuishi maisha yangu ya kutoku-date exclusively mtu mmoja jambo linalonifanya niwe mwangalifu sana hata ktk mahusiano ya juu juu niliyo nayo na wanawake, kwa sababu watu hawaaminiki, watu ni waongo kwa asili, na ni vigumu kumwamini mtu. Single life is the way to go people.
 
Nawakilisha
Kichwa am sorry kwa kuiweka hivyo ilikuwa ni upeo wangu mdogo but kadri mjadala ulipokuwa unaendelea nadhani mada ilijirekebisha kimtindo.

But nitarekebisha thread kusuit mjadala

Aksante kwa angalizo
 

hicho ndicho ninachokizungumzia hapa- kama umeshajua na kugundua kuwa watu si waaminifu hata kidogo- what makes you think aliyeolewa au kuoa ni mwaminifu kwa mwenzie?
 
 

Hapana SMU haimaanishi hivyo kuwa tuwe tunapima kila mara-kinachoniumiza ni kutokupima kabisa kwa sababu kama hatutapima ina maana hatuwezijua status zetu na kuanza kujipanga mapema- inaniuma ninapofikiria uwezekano wa wanandoa kuwaacha watoto wao bado ni wadogo when it is too late kuanza kupanga.

Na bahati mbaya fisadi wa ngono hana alama usoni- so kama umelijua hili kwa nini uamini na kuyaweka maisha yako na ya wanao at risk?
 
Fidel na ndio maana kuna counselling kaka yangu.

Pamoja na kwamba kuna counselling unakwenda kupima bila sababu kama chizi? Lazima uwe na sababu ya msingi.

Kama una wasi wasi kwa nini usiende ukapima peke yako kwanza kuliko kum-terrorize mwenzako kwa kumwambia point blank kuwa unatilia shaka uaminifu wake kwenye ndoa? This is the last thing I would want to hear from my honey!
 
hicho ndicho ninachokizungumzia hapa- kama umeshajua na kugundua kuwa watu si waaminifu hata kidogo- what makes you think aliyeolewa au kuoa ni mwaminifu kwa mwenzie?

Ni kweli hakuna uaminifu kwenye ndoa nyingi sana na ndio maana mimi sitaki kabisa kusikia hizi habari za ndoa. na sitakuja kuoa ng'o. Hata kuchangia harusi za watu nimeshaacha siku hizi. Ni kuleteana umaskini tu wakati watu wenyewe most likely hawataiheshimu ndoa yao na viapo walivyopeana.

Sasa watu mko kwenye ndoa halafu hamuaminiani? WTF? Hai make sense kabisa. Ni bora muishi pamoja lakini msiseme eti kuwa mko kwenye ndoa kwa sababu msingi mzima wa ndoa ni imani. Sasa kama imani haipo hiyo ndoa itakuwepo kweli au mnayeyushana tu....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…