Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Eneo lote huku ukanda wa pwani, ni karibu kila familia inauguza, kama sio kila mtu kuugua Mafia iliyochanganyika na homa, kchwa, kiuno n.k
Kila mtu ukimsalimu anasema anajisikia homa, sijui kichwa, sijui mwili umechoka n.k
Kwanza kabisa nadecrea interest kuwa, Mimi si mwanasayansi na sjasomea chochote kuhusu elimu ya viumbe na magonjwa,
Ila kama binadamu wa kawaida na mwenye kufikiri mambo na kuchanganua, kwa kiasi chake naweza
Na ieleweke kuwa, chochote kilichozaliwa na kikawa kitu Halisi kilianzia kwenye wazo, wazo ambalo iwe alilitoa mtu wa chini mno na asiye na elimu, lakini likachukuliwa, likaboreshwa na kisha kikawa kitu dhahiri
Angalia uumbaji wa Mungu, ni ulianzia kwenye wazo, alipokuwa akimuumba mwanadamu, aliwaza na kisha akamuumba, Na kiuhalisia, kama mtu huna wazo, huwezi kuzalisha chochote
Nirudi kwenye hoja!
Dunia inakabiriwa na milipuko ya magonjwa mengi hasa hili la Corona!
Tunaambiwa na wataalaamu kuwa, kwa sasa dunia IPO kwenye wimbi la NNE tangu kirusi wa kwanza kuonekana, na amekuwa ajibadirisha badirisha kila iitwapo Leo
Kiasi kwamba, hata wanasayansi kitengo cha utafiti Tiba na chanjo wanahaha kuwa inakuwaje kila tukiandaa sampuli ya chanjo kwa ajili ya corona jina fulani, Mara wadudu wanabadirika na wao pengine kuhitaji chanjo yake?? Naiona ilivyongumu kazi ya wataalaamu wa mabaabala
Nikufikirishe mwana Jf, lakini pia hii inaweza kutumika kwa Wataalam wetu na wapenda nchi yetu kiengo cha utafiti wa magonjwa,
Mashaka yangu yapo hapa!
Leo hii ukitaka kulima kilimo cha mbogamboga na matunda, kuna wadudu ambao huzaliwa mle, utaenda nunua dawa ya mdudu yule, lakini baada ya siku mbili tatu, utakutana tena na mdudu wa aina nyingine tena, utanunua dawa na utamwangamiza, vilevile atazaliwa mdudu mwingine wa aina tofauti tena, hii maana take nini,
Maswali ya kujiuliza, Je, hao wadudu huwa wanatoka wapi kila unapobadirisha dawa na wanazaliwa wengine wapya na ni aina nyingine
Inamaana zile dawa ndizo huwenda zinavinasaba za wadudu hao kwa kila aina ya dawa tunazotumia?
Kama ndani ya zile dawa hakuna wadudu, huzaliana kutoka wapi?
Wanasayansi na wataalamu wetu, mtwambie, ni lini mnafanya utafiti wa kina kuhusu hayo? Au sayansi ya mzungu ndio tunayoitumia na kuiamini pasipo kujiridhisha kutokana na madawa yao?
Okay, wacha nije hapa!
Mashaka yangu hayo iwapo yanachembechembe yenye harufu ya ukweli, Unadhani, Sayansi ya watu weupe haiwezi kufanya hayahaya kwa binadamu?
Je, hizi chanjo tuna zochoma, hazizalishi wadudu wengine wapya?
Mbona imekuwa mkipona wimbi la kwanza linakuja lingine na halimwachi salama na aliye chanjwa!
Je, kunautafiti wowote mpya kwa kila wimbi la gonjwa hili linapokuja linaanza na mtu Nani na hatimaye kusambaa nchi nzima?
Je, ni aliyechanjwa, ama yule ambaye hakuchanjwa?
Na Je, ni kweli halitokani na kuzaliana tuu ndani ya miili yetu tuliochanja hizi chanjo
Nawaza kwa ajili ya nchi yangu, Taifa langu, Tanzania yangu, kizazi changu, watanzania wenzangu!
Mungu, ibariki Tanzania, Mungu, bariki Africa, Mungu bariki viongozi wetu!